Mchongoma

“Kupanda mchongoma, kushuka ndio ngoma”;

Ni mti wenye miba ya kudunga na kuchoma.

Kuupanda rahisi, kuushuka ndio noma;

Miba yake ‘kikudunga, kuupanda utakoma.

Ukitaka kuepuka kudungwa na kuchomwa,

Kamwe usiupande mti huu mchongoma.

Image