Mchongoma

“Kupanda mchongoma, kushuka ndio ngoma”;

Ni mti wenye miba ya kudunga na kuchoma.

Kuupanda rahisi, kuushuka ndio noma;

Miba yake ‘kikudunga, kuupanda utakoma.

Ukitaka kuepuka kudungwa na kuchomwa,

Kamwe usiupande mti huu mchongoma.

Image

 

 

 

Advertisements

2 comments on “Mchongoma

  1. Gakii Josh says:

    Juzi Nmegundua Maana Ya Methali_ Kupanda Mchongoma C Ngoma Kushuka Ndo Ngoma,have Been To Mt.Kenya Yesterdai Nkauona Mchongoma Mti Wenye Miiba Imeface Juu,kumbe Utapanda Kwa Starehe Bt Kushuka Hutaweza!Utashukaje Bila Kulalia Mti?

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s